Ajira zote serikalini zinatolea kimfumo. Ina maana ni hadi pale nafasi zitakapotangazwa ndipo ufanye maombi kupitia mfumo. Hakunaga ile just recommendation afu ndio uwe umepata

yeahp nasema pale kipind wametoa dokezo kuwa afya watatoa nafasi za ajira miurugenzi wa hospitali akikureccommend kuwa ulikuw unavolunteer inaweza sound ukapata pia?