Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,501
- Thread starter
-
- #41
Kweli inabidi nijiongezemkuu haunaga namba ya reserve?,yaani vijana wanatembea kutwa kusajili unakosa namba ya reserve?
Umefutwa kipindi ambacho nimemjua Yule jamaa
Akii huyo bwana lawyer was arachuga hata siamini ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeamini? Mods alifanya editing, kwanini hakufuta alipofanya editing?
Nimeijengea ukutaMtu mwenyewe unalinda papuchi Kama mgodi wa tanzanite unavyolindwa!!
Joke
i
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii dhihaka sasaKama wanaume wanapata wanaume wa kuwagegeda humu.mi ndo nitakosa laki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio maana siuoni, nimeutafuta kweli.
dada,mbona unaiaibisha familia yetu lakini, umenikosea heshima mimi kaka yako! laki moja kweli?Jamani Leo nimefulia sana.ukimuomba mwanaume hela unaonekana una tabia mbaya.
Kuna asiefulia jamani
Naombeni laki wakuu nitarudisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nirushie bna.plsdada,mbona unaiaibisha familia yetu lakini, umenikosea heshima mimi kaka yako! laki moja kweli?
nilirenew laini hapa juzi tu, hebu nitumie haraka namba yako nikutumie pesa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida siyo kupewa mkuu ishu ni makubaliano ya namna ya kukabiziana huo mzigo
Weka masharti nije mkuuShida siyo kupewa mkuu ishu ni makubaliano ya namna ya kukabiziana huo mzigo
$ There's clear light at the end of the Tannel $
Unaleta utani shidaniKitambulisho rejea: PP10004535.1732.A27140. Umetuma Tshs 150,000.00 kwa 0755120545, Miss Natafuta.Salio jipya ni 250,436.45Tshs. Huduma za Airtel Money zimeboreshwa ,Rudisha muamala uliokosea papo hapo,Piga *150*60# chagua 7 kisha chagua 1.
1=Hati ya shamba tuu mkuu pamoja na wadhamini wa wili
Njia ya kutuma hiyo hela ni ipi??