habari wana jF, nina tatizo la ku edit basic infmtn kwenye akaunti yangu ya yahoo mail., niliyoifungua tangu 2004. kila nikiedit jina langu, sioni mabadiliko, i mean nikisha sign in..naambiwa Hi........(linatokea jina la zamani) na sio badiliko nililofanya..na pia ninapotuma barua pepe linatokea jina la zamani kwa yule mpokeaji..nahisi nakosea mahali. naomba muongozo