Habari wana-JF. Mimi nina HP Pavilion dv6645el Entertainment Notebook, sound imepotea na nikiangalia driver manager kuna matatizo haya yafuatayo:
Standard Dual channel PCIIDE Controller is not working properly
High Definition Audio Controller is not working properly
Standard Open HCD USB Host controller has a problem.
Microsoft ISATAP Adapter has a driver problem
Microsoft ISATAP Adapter II has driver problem
Microsoft Teredo Tunneling Adapter has driver problem
Note:
Machine niliinunua ikiwa na window Vista, nimeondoa na nikaweka window 7. Ilikuwa inafanya vizuri kabisa, ila nilipo downloads Unblue Powersuite na ku-apply ndo imeniletea shida.(Unblue Powersuite ni combination ya 3 programs, i.e. Registry, Driverscanner na PCspeed Up).
Nashukuru sana kwa response yako. Ukweli nimejaribu kupitia HP support lakini ukweli ni kwamba hawa jamaa drivers zilizopo ni zile zinazo support OS za Vista, Vista 64 bit, XP na 2000. Na live chat support ya HP no longer available kwa machine ambayo muda wake wa warrant umepita. Before haikuwa hivyo, na walikuwa wanasaidia sana, na hata kwa mtu ambae hawezi kufuata zile instructions walisaidia kutumia remote desktop.
So please kama una sound driver tu, nisaidie hiyo kwa sasa. Hizo probs zingine nitatafuta means ya kuzitatua kama si hapa JF.
Asante sana kwa mara nyingine.