Kuna binti nimempenda sana na nimejaribu kuongea naye hajakataa wala kukubali,bali kaniambia kuwa kinachomchanganya ni dini yeye ni msabato mm ni mroma. Ndg zangu naombeni msaada wenu nifanyeje maana nampenda sana
Kuna binti nimempenda sana na nimejaribu kuongea naye hajakataa wala kukubali,bali kaniambia kuwa kinachomchanganya ni dini yeye ni msabato mm ni mroma. Ndg zangu naombeni msaada wenu nifanyeje maana nampenda sana
Samahani sana napenda kujua tofauti ya msabato na mroma ni ipi? Naweza kumjua kwa kumuangalia tu kwa macho?
Wasabato wanaabudu jumamosi
Wakatoliki jumapili
WAsabato hawaitambui Krismas wala Easter
Wakatoliki ndio siku kuu za muhimu
Wasabato wanakana uwepo wa sanamu ya chochote
Wakatoliki wanakubaliana kuwepo kwa sanamu za wafuasi wa "Yesu" na "Yesu" mwenyewe
Wasabato hawakubaliani na suala la kumuomba Mariam mama wa Yesu
Wakatoliki wanakubaliana nalo
Wasabato wanaamini Papa ni Mpinga Kristo
Wakatoliki wanamchukulia kama halifa wa Mtume "Petro" duniani na "Yesu"
Wasabato hawakubaliani na sala za kuwaombea wafu
Wakatoliki wanakubaliana na hilo
Kwa uchache zinakutosha hizo kumshauri huyo jamaa!!!!!
Kwa ufafanuzi huu Wasabato wako wrong
Wako wrong kivipi?
Halafu ulikuwa unahitaji tofauti ili ukosoe kundi moja au ulihitaji tofauti ili umshauri huyo mwenye mada cha kufanya??
Me nilitaka nijue tofauti zao kwanza. Asante kwa maelezo.
Mbona hujajibu nilichokuuliza??
Kwa ufafanuzi huu Wasabato wako wrong
Kwa hiyo nifanyeje?
Kwa ufafanuzi huu Wasabato wako wrong
Kwa matamshi haya una kwa namna nyingine unamshauri mleta mada aachane na huyo bibiye...
Hapana..inabidi amvute kwake
hamia sabato wanaimba vizuri
"Humpendi" wewe
Kama "ungekuwa" unampenda usingekuja hapa
Unakijua cha kufanya kama "unampenda"!