Wakuu nimekwama kweli kweli mtaani kugumu hali mbaya kwa mwenye connection ya kazi iwe sheli au yeyote nzuri naombeni elimu yangu form 4 nitakupa laki na nusu kama ahsante πππ
Zipo kazi za kuumizana na sio ajira za kawaida umewahi kwenda pale darling mbagala umewahi kwenda kujionea kazi wanazofanya watanzania pale cello temeke mwisho na sehemu nyingine nyingi ambazo wanachukulia mtu mwenye shida ya kazi kama sio binadamu wa kawaida
Zipo kazi za kuumizana na sio ajira za kawaida umewahi kwenda pale darling mbagala umewahi kwenda kujionea kazi wanazofanya watanzania pale cello temeke mwisho na sehemu nyingine nyingi ambazo wanachukulia mtu mwenye shida ya kazi kama sio binadamu wa kawaida Kama ipi
Sihitaji kubishana ndio maana nimekwambia ukomae na hali yako, ni zumbukuku wa maarifa pekee ndiye ambaye anaweza kushindwa kuelewa nilicho kimaanisha.
Zipo kazi za kuumizana na sio ajira za kawaida umewahi kwenda pale darling mbagala umewahi kwenda kujionea kazi wanazofanya watanzania pale cello temeke mwisho na sehemu nyingine nyingi ambazo wanachukulia mtu mwenye shida ya kazi kama sio binadamu wa kawaida
Mleta mada, Majibu unayotoa kwenye comment section yanaonyesha wewe huna uweledi wa aina yeyote na huna akili hata ya kuzaliwa nayo. Hivyo, huajiriki popote.
Mleta mada, Majibu unayotoa kwenye comment section yanaonyesha wewe huna uweledi wa aina yeyote na huna akili hata ya kuzaliwa nayo. Hivyo, huajiriki popote.