Naombeni msaada wenu juu ya nokia 210 rm-924

Naombeni msaada wenu juu ya nokia 210 rm-924

Joined
Jul 16, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Naombeni msaada wenu, mimi nilikua nnatumia NOKIA 210 RM-924
Lakini chakushangaza sasa nikiweka tu betri kuna maandishi yanajitokeza, yameandikwa (contact service) na ukiiwasha haiwaki.

Je,nifanyeje na simu yenyewe ni mpya kabisaa nimeitumia siku mbili tu.

Naombeni msaada wenu tafadhali

Kwa mawasiliano zaidi 0687273752 au 0714791079

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom