Samahani naomba kuuliza.Mimi nmemaliza diploma last year,nataka kua apply chuo direct bila kupitia T.C.U. Sasa kuna mtu kaniambia kuwa hiyo system haipo sa iv wote tuna apply kwa T.C.U. Naomba mnijuze tafadhari.
Mkuu huwez kudahiliwa chuo chochote ngazi ya degree bila kupitia TCU na hii wamefanya hivi siku hizi ili kuepukana na tatizo la vyuo kudahili wanafunzi wasio na sifa stahiki.