Naombeni msaada waungwana!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada waungwana!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by firstcollina, May 27, 2010.

 1. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wana JF habari.
  Jamani nipo katika harakati za kusaka Post grad au Masters katika fani za Procurement and logistics. Kwa taarifa fupi nilizonazo ni kwamba kipo chuo kimoja maeneo ya Chanika kilicho chini ya udhamini wa serekali ninachotoa mojawapo ya vitu hivyo nilivyotaja hapo up-stairs

  Naombeni wenye ufahamu juu ya jambo hili mnisaidie, maana kwa sasa nipo mbali, nje ya na Dar es salaam na kwa ufahamu wangu mdogo nyakati hizi ndio vyuo vingi vinafanya registrations hasa katika mambo hayo ya Post and Masters, hivyo nina wasiwasi wa kuchelewa au kukosa nafasi.

  Pia kama kuna chuo kingine chenye kutoa vitu hivyo pia naomba wadau msisite kuni taarifu juu ya usefull information.

  :confused2:Thanks

  Bless be to those who wishes the bests in the carrier development of this JF "The Home of Great Thinkers".
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,480
  Likes Received: 81,772
  Trophy Points: 280
  Kila la heri ndugu yangu, bahati mbaya sina msaada kwenye ombi lako hili lakini hapa jamvini labda kutakuwa na wengi wanaoweza kukupa msaada wa namna moja au nyingine. Usisahau siku zote elimu ni mali.
   
 3. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa tz sijui tusubiri wataalam na wadau wa elimu watakujibu,
   
Loading...