enyi kizazi cha nyoka......!
angalieni na kuweni makini sana na aina ya Dunia ambayo mnajitengenezea na kuihalalisha.........!
msiwe na mioyo migumu kama wazee wenu kule MERIBA.......!
tafadhalini sana wandugu.
sio mpango wa mungu kuihalalisha ZINAA chini ya jua
haya mambo yafanywe lakini ikumbukwe kuwa ni dhambi kubwa
Nami nami nawaambia ni bora uwe baridi au moto kuliko vuguvugu.....!!enyi kizazi cha nyoka......!
angalieni na kuweni makini sana na aina ya Dunia ambayo mnajitengenezea na kuihalalisha.........!
msiwe na mioyo migumu kama wazee wenu kule MERIBA.......!
tafadhalini sana wandugu.
sio mpango wa mungu kuihalalisha ZINAA chini ya jua
haya mambo yafanywe lakini ikumbukwe kuwa ni dhambi kubwa
Ole wennu wajukuu mnaomsapoti babu ''kwa woga....''....
Mamito yaani mmama mwisho alitoa blue light------ yes you can have this one and no you cant have another -- so maisha yakaendelea sometimes mmama akawa anamtuma mzee amwagize mpango wa kando uexplore zaidi opportunities za investments......... we bwana we afu si kwamba huyo mmama alikuwa hajasoma, hana kazi nzuri
mimi simsapoti hata kidogo
Hivi hii thread ilikuwa inazungumzia maswala ya imani?
Niliweka angalizo kuwa msimamo wangu hauusiani na imani yoyote ya dini wala misimamo ya mashirika ya utetezi wa maswala ya jinsia!
Amani iwe kwako Mfalme wa Amani. Ila nasikitika kukuhakikishia kuwa hali ndiyo hiyo, wewe mwenyewe ukiwa mhanga wa hali hiyo.

Babu ni kweli hapa thread itachakachuka..hebu nisaidie kuweka link ya ile thread ya Are we fighting the lost Battle kama sikosei hili la nature lilizungumziwa sana humu.Ngoja tu nikae kimya maana MJ1 keshasema tunapoteza muelekea wa Thread hii!!
Jambo la muhimu hapa ni kumpa ushauri huyu mama ile awe na maisha ya amani na upendo kwenye hizo siku zake zilizobaki...
Hayo ya nature tutayazungumzia kwenye thread nyingine!
Nami nami nawaambia ni bora uwe baridi au moto kuliko vuguvugu.....!!
Na wale watu wakamuuliza je wewe sio mmoja kati ya wale wanafunzi wake?una heri wewe unaesadiki........!
ole wenu wapotoshaji wa kondoo wa bwana......!adhabu yenu ni kali sana mbele ya muumba
ole wenu mnaohukumu......!kwa maana imeandikwa USIHUKUMU....USIJE UKAHUKUMIWA
ZUNGUMZENI UKWELI
Na wale watu wakamuuliza je wewe sio mmoja kati ya wale wanafunzi wake?
Akajibu na kusema hakika simjui mtu huyo...!!![/QUOTE]
Amini nakwambia yale nisemayo ndio ukweli
Nakuunga mkono kabisa
Kwa jinsi ilivyo vigumu mtu kuyarudia matapishi yake, ukiwa vuguvugu, nitakutapika utoke kinywani mwangu.......Asema Bwana!
Asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumrushia mama huyu jiwe!
Asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumrushia mama huyu jiwe!