wakati mwingine nawaangaliaga tu wanavyojisifia kuchukua wanawake wengi, yaani kama sifa vile. huko ni kuudharau mwili wako na kujishushia thamani. hivi unajisikiaje mwili wako ukiwa ni kwa ajili ya mkeo tu! yaani hakuna kinyago chochote huko mtaani kinachoweza kuona mwili wako isipokuwa mkeo? kwanza mimi naona unakuwa confident, unachapa kazi, mawazo yanakuwa kwa mtu mmoja tu, hakuna pressure, yaani raha tupu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Michelle & FP,
Jioni njema, sijui nianzie wapi leo? kwa Cheupe pale Chang'ombe au kwa Amina pale Magomeni au kwa Tunu mitaa ya Sinza?
Anywayz chat later
Tena hata utatolewa out eti leo nimepata pesa ya safari nataka nikutoe my wife wangu kumbe anapoza machungu ya huko alikotoka yaani hata kama una mtoto mdogo hata hospitali atakusindikiza na kubeba mtoto juu ha ha ha wanaume mie huwa nawapenda na kuwaangalia tu maana siwawezi na mambo yao
Duh.....this is a very bitter accusation chauro. Dont take life that serious mydia kwa sababu mwenye hulka hata ukinuna sana sana unajitafutia presha ahhizo chai zao wala usisikilize wanvonyemelea sketi huko barabarani kama ni mumeo waenza usiamini ngoja umkute atakupa story yeye ndo ananganganiwa hawana lolote hao washezi kuliko nyama ya chura kaa uone wanavotongoza toka asubuhi utafikiri hawana wake.
Kaka leo umeamua!!
Hiyo red:
Halafu mie huwa nashangaa unakuwa na wanawake wengii kila mtu unamvulia c**** yako na wanaijua hiyo kitu yako ilivyo sijui wanaona sifa?? Unapita barabarani watu kumi wanajua kitu yako ikoje?? Aahh mie sipendi bwana

Baelezee baelewe mama mshauri............!!Duh.....this is a very bitter accusation chauro. Dont take life that serious mydia kwa sababu mwenye hulka hata ukinuna sana sana unajitafutia presha ah
We ukimhisi, unauliza akidanganya we cheka na assume amesema ukweli maisha yanasonga. Ukilazimisha umfumanie na wewe ukimfumania its another story but wewe kuumiza kichwa kwake.............Bosi ofcn akuzingue, watoto home wakuchanganye, housegal akuvurunze na bado una room ya mumruhusu Mr akuchakachushe akili yako............utadeka kwa nani sasa??
Duh..................kwa heri.wengine na vimbilimbi vyao hata hawajioni??? wanaonyesha kila mtu tu......nimewahi sikia kwenye nyumba za kupanga wanamjadili baba mwenye nyumba wanawake wapangaji......niliumia sana,manake mumeo anakuaibisha huko aendako.....na kujiaibisha mwenyewe,mambo yako na mkeo huwezi lakini nje unaenda...haloooooooo!!!!
aaaagri dada michele kama kuna mtu anyeumia katika maswala haya ni mwanamke,na mara nyingi wanakuwa wanaambiwa wavumilie tu kwakeli ndo maana wengi wanapata magonjwa ya ajabu ni uvumilivu tu,hamna raha ni kama kuingia kwenye kifungo ambacho upande mmoja tu ndio huwa unafaidi zaidi lakini asilimia kubwa ni mateso.
Ah babu.......hapa mpaka naogopa pengine mie maisha yangu ninaishi ya ajabu hisialess??! Lakini hapanaBaelezee baelewe mama mshauri............!!
Duh.....this is a very bitter accusation chauro. Dont take life that serious mydia kwa sababu mwenye hulka hata ukinuna sana sana unajitafutia presha ah
We ukimhisi, unauliza akidanganya we cheka na assume amesema ukweli maisha yanasonga. Ukilazimisha umfumanie na wewe ukimfumania its another story but wewe kuumiza kichwa kwake.............Bosi ofcn akuzingue, watoto home wakuchanganye, housegal akuvurunze na bado una room ya mumruhusu Mr akuchakachushe akili yako............utadeka kwa nani sasa??
Duh.....this is a very bitter accusation chauro. Dont take life that serious mydia kwa sababu mwenye hulka hata ukinuna sana sana unajitafutia presha ah
We ukimhisi, unauliza akidanganya we cheka na assume amesema ukweli maisha yanasonga. Ukilazimisha umfumanie na wewe ukimfumania its another story but wewe kuumiza kichwa kwake.............Bosi ofcn akuzingue, watoto home wakuchanganye, housegal akuvurunze na bado una room ya mumruhusu Mr akuchakachushe akili yako............utadeka kwa nani sasa??
Michelle & FP,
Jioni njema, sijui nianzie wapi leo? kwa Cheupe pale Chang'ombe au kwa Amina pale Magomeni au kwa Tunu mitaa ya Sinza?
Anywayz chat later
Unajua mjukuu kumesa hii kitu ni ngumu sana ndo maana watu wanajifariji...Ah babu.......hapa mpaka naogopa pengine mie maisha yangu ninaishi ya ajabu hisialess??! Lakini hapana
I think wenzangu wanajua kupenda ................
wengine na vimbilimbi vyao hata hawajioni??? wanaonyesha kila mtu tu......nimewahi sikia kwenye nyumba za kupanga wanamjadili baba mwenye nyumba wanawake wapangaji......niliumia sana,manake mumeo anakuaibisha huko aendako.....na kujiaibisha mwenyewe,mambo yako na mkeo huwezi lakini nje unaenda...haloooooooo!!!!
naelewa sisi ndo tunaumia dada Chauro,ndo maana na avoid hiyo kitu hadi siku Mungu atakaponipa ujasiri,manake haya ninayoyajua hayanipi guts hata za kukaribia hiyo ndoa....we do not deserve this from the men we love jamani....kweli inaniumiza,sijui siku nimejua mume wangu anafanya hivyo nitafanyaje......:decision::decision:
Michelle mpenzi hakuna haja ya kuogopa ........si unaufahamu ule mstari usemao watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa?naelewa sisi ndo tunaumia dada Chauro,ndo maana na avoid hiyo kitu hadi siku Mungu atakaponipa ujasiri,manake haya ninayoyajua hayanipi guts hata za kukaribia hiyo ndoa....we do not deserve this from the men we love jamani....kweli inaniumiza,sijui siku nimejua mume wangu anafanya hivyo nitafanyaje......:decision::decision: