AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,537
- 4,517
WEWE DADA NI MBISHI...UNATOA MAELEZO MACHACHE ALAFU UNASHAURIWA KWA JINSI ULIVYOELEZA WEWE UNALETA UBISHI...
ENDELEA NA UPUMBAVU WAKO...
ENDELEA NA UPUMBAVU WAKO...
AiseeWEWE DADA NI MBISHI...UNATOA MAELEZO MACHACHE ALAFU UNASHAURIWA KWA JINSI ULIVYOELEZA WEWE UNALETA UBISHI...
ENDELEA NA UPUMBAVU WAKO...
wewe kaka ni mjanja una ushauri mzuri na wa maana sana endelea na ujanja wako Mimi mpumbavu kwanini usiniache tuWEWE DADA NI MBISHI...UNATOA MAELEZO MACHACHE ALAFU UNASHAURIWA KWA JINSI ULIVYOELEZA WEWE UNALETA UBISHI...
ENDELEA NA UPUMBAVU WAKO...
asante sana kwa ushauri jamaa. Mungu akubarikiKila la kheri mkuu, nenda kituo cha polisi utoe maelezo yote kwa ufasaha ya mchakato wote. Utapewa mtu wa kufatilia hiyo kesi naamini huyo jamaa atapatikana tu na muafaka wa hilo deni lako utafikiwa.
kesi iliisha mwaka Jana na tukaendelea kufuatilia nje ya mahakama kuona kama wanaweza hata kufanya kama tulivyokubaliana lakini ilishindikana, hapa kati nilipitia changamoto za kiafya nikasitisha michakato nijitibu kwanza. Ilitoka hukumu ila sijui tofauti za hayo maneno ya kisheria mkuu.Pole sana mkuu, hii ndio dunia.
- Kesi uliyomshtaki hao ndugu iliisha lini? na je ilikuwa ni hukumu ama uamuzi (decree or ruling)?
- Ilikuwa ni kesi ya nini (madai, jinai nk)?
- Maandishi mliyoandikishana na ndugu, walitamka chochote kuhusu ndugu yao? kama kutaja jina kamilifu la huyo mtoro
Google the Doctrine of Estoppel, itakusaidia dhidi ya hao ndugu hata kama ni kwenye rufaa
Kama utaweza na hutojali, nitumie nakala ya hukumu DM, unaweza kuyawekea vivuli majina yaliyotumika kama hutapenda yafahamikekesi iliisha mwaka Jana na tukaendelea kufuatilia nje ya mahakama kuona kama wanaweza hata kufanya kama tulivyokubaliana lakini ilishindikana, hapa kati nilipitia changamoto za kiafya nikasitisha michakato nijitibu kwanza. Ilitoka hukumu ila sijui tofauti za hayo maneno ya kisheria mkuu.
Nitatoa story kwa ufupi ilivyokua, nilimkopea mtu pesa kwenye kikundi zaidi ya milioni kumi, baadae akakimbia na ndugu zake wakaahidi kulipa kwa kusema kuwa Mimi nilipe huko kikundini then wao watalipa ila tuwape muda. Nikajilipia lile deni na tukawapa mwaka mzima walipe. Mwaka ukakata siku ya makubaliano ikafika hawakulipa.
Tukaenda mahakamani wakakataa kuwa siwadai wao ila ndugu yao na hawajui alipo nadhani na rushwa ikatembea wakashinda kesi kwa point kuwa wao si wadaiwa halisi.
Je, naweza kumfungulia huyo aliyetoroka kesi ya wizi wa kuaminika na nikawabana ndugu zake wamfichue alipo coz wanamficha?
Naombeni ushauri wowote au msaada. Nipo Arusha
asante kwa moyo wako mkuu. Niliifuatilia sana hati ya hukumu ikawa napigwa tarehe tuu hadi nilivyoanza kuumwa na kusitisha ufuatiliajiKama utaweza na hutojali, nitumie nakala ya hukumu DM, unaweza kuyawekea vivuli majina yaliyotumika kama hutapenda yafahamike
aliweka shamba lenye nyumba ambayo haijaisha kumbe akazunguka na kuiuza na kukimbia kwahiyo alikua na hati mbili moja aliyotupa na moja aliyouziaNilitamani utuambie ni kitu gani kilichowekwa dhamana wakati wa kukopa? Nyumba,Gari,Shamba au nini?
Sasa unatakiwa kufuatilia hiyo nakala ya hukumu. Kufuatilia ni kwa kuandika barua ya kuomba kupewa nakala hiyo sio kwenda tu na kuongea na makarani, weka vitu kwenye maandishi.asante kwa moyo wako mkuu. Niliifuatilia sana hati ya hukumu ikawa napigwa tarehe tuu hadi nilivyoanza kuumwa na kusitisha ufuatiliaji
kwahiyo mkuu naweza kurudi mahakamani na kuomba hivyo vyote? Kwasababu Yale maandishi yalibaki huko je naweza kupewa lile file?Sasa unatakiwa kufuatilia hiyo nakala ya hukumu. Kufuatilia ni kwa kuandika barua ya kuomba kupewa nakala hiyo sio kwenda tu na kuongea na makarani, weka vitu kwenye maandishi.
Kwa ulivyokuja kuomba ushauri hapa, tafsiri ni kuwa unahitaji msaada kupata fedha yako, itakulazimu kuwa serious ili uweze kupata msaada huo unaouhitaji.
Tafuta nyaraka zote kwa ukamilifu (mkataba wa udhamini wa mkopo ambao mara nyingi ndio mkataba wenyewe wa mkopo, hati mliyoandikishana na hao ndugu, nakala ya hukumu na chochote kile unachofikiri kina msaada kwako).
Hapo utaweza kusaidiwa au kushauriwa kwa usahihi.
Nitatoa story kwa ufupi ilivyokua, nilimkopea mtu pesa kwenye kikundi zaidi ya milioni kumi, baadae akakimbia na ndugu zake wakaahidi kulipa kwa kusema kuwa Mimi nilipe huko kikundini then wao watalipa ila tuwape muda. Nikajilipia lile deni na tukawapa mwaka mzima walipe. Mwaka ukakata siku ya makubaliano ikafika hawakulipa.
Tukaenda mahakamani wakakataa kuwa siwadai wao ila ndugu yao na hawajui alipo nadhani na rushwa ikatembea wakashinda kesi kwa point kuwa wao si wadaiwa halisi.
Je, naweza kumfungulia huyo aliyetoroka kesi ya wizi wa kuaminika na nikawabana ndugu zake wamfichue alipo coz wanamficha?
Naombeni ushauri wowote au msaada. Nipo Arusha
Hao watu walisaini kama mashahidi au walisaini kama wadhamini wa mkopaji?Ndio na ushahidi tuliupeleka wakasema walisign tu ili nisijidhuru.
Hiyo ni kesi ya madai, polisi hawahusiki kwa sasa.Kila la kheri mkuu, nenda kituo cha polisi utoe maelezo yote kwa ufasaha ya mchakato wote. Utapewa mtu wa kufatilia hiyo kesi naamini huyo jamaa atapatikana tu na muafaka wa hilo deni lako utafikiwa.
Estoppel haifanyi kazi katika mazingira haya, mshauri vizuri.Pole sana mkuu, hii ndio dunia.