Na yangu pia inasumbua hivyohivyo mwanzoni nilipata shida nikpeleka kwa fundi baada ya hapo ilivyorudia tena huwa nabonyeza button ya kupuguza sauti na kuzima kwa pamoja ndio inawaka. Au naiacha mpk iishe chaji kabisa inajizima ndio nachaji upya na kuiwasha