Motheroftwo New Member Sep 22, 2020 1 0 Oct 21, 2020 #1 Ndugu zanguni naombeni msaada mnijuze TAESA kwa Kilimanjaro kama ipo na iko maeneo gani na mimi niende nikapeleke huko vyeti huku mambo mengine ya kupambana kutafuta ajira sehemu mbalimbali yakiendelea.
Ndugu zanguni naombeni msaada mnijuze TAESA kwa Kilimanjaro kama ipo na iko maeneo gani na mimi niende nikapeleke huko vyeti huku mambo mengine ya kupambana kutafuta ajira sehemu mbalimbali yakiendelea.