Naombeni msaada wa ushauri ndugu zangu

Naombeni msaada wa ushauri ndugu zangu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Kuna mwanamke ambaye nilikuja kupewa baada ya kudai kuwa ana ujamzito wangu. Baada ya miezi kadhaa mimba ile iliaribika. Tukaendelea kuishi kama mume na mke.

Ila kwa kipindi ambacho tulikaa pamoja takribani miaka 4 na nusu tulipambana kutafuta mtoto lakini mambo yalikuwa magumu huyu mwanamke hakushika ujauzito mwingine tena baada ya ule wa kwanza kuaribika.

Ndoa yetu ikaingia kwenye migogoro ambayo ilisababisha mimi kutengena na huyo. Baada ya kutengana ndugu na jamaa walilalamika saana na kuomba ni mrudishe mke wangu.

Jana alinipigia simu na kuomba kuonana na mimi nilikwenda kuongea naye alinichoniambia ni kuwa anahisi ana ujamzito na tulivyo kwenda kupima akaonekana kweli ni mjamzito.

Cha ajabu na cha kushangaza anadai huo ujauzito ni wangu mimi. Kitu ambacho najiuliza inawezekanaje hii? Kwasasa ana mwezi na nusu yupo kwao. Na toka tutengane sijawahi kukutana naye kimwili.

Na sio hicho tu ndo kinanishangaza cha ajabu na cha kusikitisha ni kuwa tulikaa miaka 4 bila kupata mtoto iweje baada ya kurudi kwao ndo adai ni mjamzito?

Najaribu kutafakari sipati majibu.
 
First trimester ultra sound . Ni very accurate . Utajua Mimba Ina week ngapi . It’s a very simple case . It’s basically a social problem rather than scientific one . Ukijua then what ? You’re legally married . Social laws are on her side . Till proven otherwise. Utalea Mimba hiyo Kama the woman is smart na mtoto pia . You will have painful legal & social battle for the coming months . Pole sana.
 
Kama lilivyo ilo li kaptula lako kwenye profile. Akili ya mkeo ni kubwa kuliko yako.na uache unyonge una onekana ni mpole sana
 
Kifupi huna uwezo wa kutungisha mwanamke ujauzito, hata huo ujauzito wa kwanza haukuwa wako.
Ova...
 
Lea mimba hiyo, lea mtoto huyo huna kizazi acha kupekua pekua yasiyokuhusu ndugu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom