Naombeni msaada wa taarifa juu ya ukopaji wa nyumba

yusimi

Member
Dec 14, 2014
25
4
Habarini.naomben kama kuna yoyote ana taarifa ya masharti ya kukopa nyumba na wap wana vigezo vichache anijuze.

Asanteni
 
wewe ni mtumishi wa serikali. Watumishi housing company wanakopesha nyumba kwa mshahara wako tu
 
Kama si mtumishi was serikali,unatakiwa uwe na shughuli inayokuingizia kipato- iwe imesajiliwa- iwe na leseni na TIN- Use tayari kulipia asilimia 10 ya bei ya soko ya Nyumba hiyo/ hizo-
 
Kama si mtumishi was serikali,unatakiwa uwe na shughuli inayokuingizia kipato- iwe imesajiliwa- iwe na leseni na TIN- Use tayari kulipia asilimia 10 ya bei ya soko ya Nyumba hiyo/ hizo-
Hapana mimi si mtu wa serikali.nimeajiriwa na private company
 
Una milioni 16 hapo nikuunganishe?,
unalipa downpayement milioni 15 halafu commission yangu milioni moja,
je uko tayari umiliki nyumba yako mwenyewe,
 
Una milioni 16 hapo nikuunganishe?,
unalipa downpayement milioni 15 halafu commission yangu milioni moja,
je uko tayari umiliki nyumba yako mwenyewe,
Nyumba za wapi..garama yake ikope.naomba maelezo kamilo kaka angu
 
Back
Top Bottom