Naombeni msaada wa software za computer aided engineering

Naombeni msaada wa software za computer aided engineering

OPTIMISTIC

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
125
Reaction score
20
Salaam,

Ninahitaji software za Autodesk - Autocad na Invertor any version may be 2008, 2010 or 2011, nimepata shida ya computer yangu hivyo nimepoteza softwares zangu muhimu sana.

Naombeni sana msaada wenu, if possible jinsi nitakavyozipata pamoja na gharam zake niko nje ya Dar es salaam
 
Pole mkuu,najua inasumbua kiasi gani.Nilishawahi kupatwa na problem kama yako miaka kadhaa iliyopita.Hauna jamaa waliopo Dar wakutumie CDs (burned aka pyrated softwares maana ndiyo wengi tunazozitumia)hata kwa bus? Maana hata mwana JF yeyote atakuwa nayo sidhani kama itakuwa rahisi ku-upload kutokana na ukubwa wa hizo softwares.Namna nyingine ni kusema mkoa hasa ulipo kama kuna mtu yupo hapo hapo au ana jamaa yake ayeweza kuwa nazo akuunganishe naye.Ni hayo tu mkuu.
 
Ahsante sana kwa reply,
Mimi niko Tanga plse kwa umuhimu wa software naomba kama unaweza kunisaidia, nitumie gharama za kucopy na kusafirisha kawaida tunatumia mabasi Rahaleo kwa kutuma pacels. Niko tayari kutuma hela ini advance kwa mpesa kama utakuwa tayari kunisaidia na naomba nitajie tu if there is any extra costs involved

Please naomba nitumie PM if you are ready to assist.

Ninatanguliza shukrani
 
Salaam,

Ninahitaji software za Autodesk - Autocad na Invertor any version may be 2008, 2010 or 2011, nimepata shida ya computer yangu hivyo nimepoteza softwares zangu muhimu sana.

Naombeni sana msaada wenu, if possible jinsi nitakavyozipata pamoja na gharam zake niko nje ya Dar es salaam

Mm PM maxence melo
Niliwai kuona thread yake kwenye jukwaa hili ana moja katika ya hizo ulizotaja ( https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/141425-autodesk-autocad-2012-a.html)

pole sana
 
Salaam,

Ninahitaji software za Autodesk - Autocad na Invertor any version may be 2008, 2010 or 2011, ....... ?

Ni ......Computer Aided Design - CAD

Tafadhali be specific na aina ipi unataka kutumia;

Tembelea Autodesk 2012 Products - New Releases

Download trial ya chaguo lako.

Tembelea http://www.youtube.com/watch?v=Ol9whDjfe4g&NR=1

Kama Denti nitakusaidia Bure.. nimedownload za kuenea...

Muhimu chaguo lako ... OS bit ipi unatumia x86 ama 64bit ...

Wasalaam
 
Kuna mkaka anauza software za engneering including autocard 2012 ngoja nikupm namba yake kwani sidhani kama ni sahihi kuweka public bila ridhaa yake
 
Nashukuru sana wanajf kwa msaada wenu mkubwa, sasa nimeipata through mwendakulima cjaiona physically ila tayari imetumwa kwangu, imagine @ no cost, thx so much. Nimejifunza kitu kikubwa mno. Kuhusu gomer pole i thnk you r still juniour in eng field, these softwares r more than designing n I was very specific thats why your fellows understood wht I was asking for. But thx 2u
 
ukitaka software za AUTODESK inc unaweza download trial version kwenye mtandao wao kisha utafute product keys na activation keys kwenye mtandao wa www.keygens.nl
 
Back
Top Bottom