Naombeni Msaada wa mawazo tafadhali

Naombeni Msaada wa mawazo tafadhali

Pole SweetDada, mapenz yanaumiza sana, kaa nae umwambie hiyo tabia hukufurahishwa nayo na usikie atakuambia nini. By the way ukiona dalili za Moshi ujue moto upo.

pole dada angu karibu kwangu nina matatizo kama hayo pia kwa upande wangu so i hope we will start over...
 
Men are like hot beans its either you swallow or spit them, and once you spit u can't take them back without being contaminated with dirty
#borrowed from my mentor
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom