Organic Uncle
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 167
- 331
Asante nashukuru. Ntazingatia. Vyakula nitofauti tofauti vinapikwa. Labda kwenye mapishi inabidi ujuzi uongezeke. Asante kwa ushauri mzuriSio daktari lakini natumia uzoefu nilioupata baada ya kulea wanangu.
Inawezekana unampa chakula aina moja kinamchosha pia pengine aina ya mapishi inamshinda!!! Badala ya kumchapa kuwa nae karibu muulize Nini anapenda pika vyakula tofauti tofauti mpe uhuru mtoto ujue atakachoweza kula punguza ukali umuelewe mwanao.
Karibu pia hospitali akachekiwe labda ana tatizo
Asante sana. Ntampa hizi salam mpishi mama yake ingawa nampikia siku mojamoja km baba yakeJifunze kupika vizuri
Asante sn.Kama anatumia dawa za minyoo na unataratibu wa kubadilisha aina ya vyakula mwache tu , akipata njaa atakula tu , kinyume na hapo nenda hospital utapata ushauri zaidi.
Hiyo fimbo unayomshikia ndio inampotezea appetite kabisaHabari za leo wana Jf. Naombeni msaada wa mawazo ya kumfanya mtoto wangu apende kula.
Mtoto wangu ni wakike anaumri wa miaka 5 sasa. Afya yake sio mbaya ila tatizo lake HAPENDI KULA.
Kila siku lazima nimshikie fimbo wakati wa kula. Nikulazimishana ni vilio mwanzo mwisho mpaka chakula kinaisha.
Na usipomshikia kiboko hicho chakula hakitaisha yuko radhi akae hapo akiangalie tu muda wote.
Na anatabia yakuweka chakula mdomoni halafu hamezi. Kuna wakati najiuliza sijui anashida kwenye koo?
Kwa sasa namuonea huruma mana namchapa sana wakati wakula ila habadiliki ingawa akisikia njaa huwa anasema.
Naomba ushauri nitumie mbinu gani ili nimshawish apende kula ama kama kuna dawa zinazoweza kumpelekea kupata hamu ya kula mara kwa mara ningeomba nizifaham.
Je tatizo hili ni kwa watoto wengine pia ama ni kwa mtoto wangu tu?
Natanguliza shukrani..🙏
Nashukuru kwa kunikumbusha. Nishaamua kuachana na fimboHiyo fimbo unayomshikia ndio inampotezea appetite kabisa
Umenena Kaka,,Huwezi Kumchampa Mtoto Kisa Kakataa Kula,,Hapo Ndio Anamvuruga Kabisa,Mtoto anahitaji Akili Kubwa Mnoo ili uwezekung'amua Shida ZakeHiyo fimbo unayomshikia ndio inampotezea appetite kabisa
Asante sn. Ntajitahidi kwa hiloShida ya wa Tanzania walio wengi vyakula ni vya aina ile ile ugali au wali na ukichanganya na mapishi yenyewe mtoto lazima akinai kula. Jaribu kumbadilishia chakula vyenye radha tamu nadhani unavijua.
Hapa kwenye minyoo sijui mana tulishakunywa dawa za minyoo wote kwa wakat mmoja ila hali ni ileileMinyoo hiyo mtafutie dawa chap alafu mpe anachokipenda.
Pengine ni hatua za ukuaji
Daaah hapa kwenye chips anapenda sn atakula vzr bila shida. Tatizo huwezi pika chips kila siku.Umejaribu Chips kuku kidali akakataa?
Asante sn ntazingatia. Pia naihitaji hiyo akili ya ziada ambayo nimepungukiwa kwa kupata mawazo ya wadau km nyie. Isitoshe ni ulezi wangu wakwanzaUmenena Kaka,,Huwezi Kumchampa Mtoto Kisa Kakataa Kula,,Hapo Ndio Anamvuruga Kabisa,Mtoto anahitaji Akili Kubwa Mnoo ili uwezekung'amua Shida Zake
Huyo ana appetite ndogo Kama Mimi tu siwezi kula ugali na mchicha tupu zaidi ya tonge tano.Daaah hapa kwenye chips anapenda sn atakula vzr bila shida. Tatizo huwezi pika chips kila siku.
Mkuu majimaji vyakula vyenye Radha tamu ni vipi hivyo?Shida ya wa Tanzania walio wengi vyakula ni vya aina ile ile ugali au wali na ukichanganya na mapishi yenyewe mtoto lazima akinai kula. Jaribu kumbadilishia chakula vyenye radha tamu nadhani unavijua.