Husika na mada tajwa hapo juu, Naombeni msaada wa material yafuatayo:
FOUNDATION Level
Quantitative Techniques, Business and Management, Accounting,Business Information,Business Law.
Pia nilikuwa naomba ushauri, ni masomo yapi kati ya hayo naweza kukomaa bila Review Class na kupass.
Natanguliza shukrani za dhati kwa Msaada wenu.