Naombeni msaada wa hili tatizo

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,143
2,000
Ilianza kama sehemu za mwili kuuma tu ilianza kidogo chini ya mgongo juu ya kiuono kidogo yaani maumivu yanayokuja na kuondoka baada ya kudumu kama sekunde 30-45 ivi.

Maumivu yakapanda mpaka mgongoni ikawa ndo mgongo unauma yakahamia mgongoni upande wa kulia. muda wa maumivu ni ule ule tumbo likawa linauma na kukata kwa mbali sana.

Basi sasa yale maumivu yameisha sahivi naona utofauti kwenye kinyesi, yaani kinakuwa cha kukatika katika kigumu kidogo kama cha mbuzi.

Sasa leo nmeshtuka baada ya kuangalia kinyesi na kukuta kina rangi ya kawaida na Nyeusi yaani rangi nyeusi hasa imekatiza kwenye kinyesi.

Na naona kama kuna kuna vichunusi kwa mbali kwenye uso wangu na mgongoni pia.

Nimepima vidonda vya tumbo na typhoid wakanikuta na typhoid na dozi nimemaliza.

Je wakuu hii inaweza kuwa shida gani, Naombeni Nisaidieni.
 

Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
15,466
2,000
ungepeleka haja kubwa yako kwa uchunguzi zaidi inaweza kua na tatizo jingine mbali na hayo, maji unywe mengi pia je unajisaidia choo ni kigum sana au??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom