Kiukweli ikiwa mwanamke hajawahi kukutana ki mwili na mwanaume anaweza kuchukua muda meefu lakini ikiwa ameshawahi kukifungua kipochi chake hawezi kufikisha miezi sita
Mwanamke anaweza akakaa hata milele bila kushiriki tendo la ndoa ikiwa hajaolewa...lakini anaweza kufanya ngono muda wowote na mtu yoyote...kwani tendo la ndoa ni kwa wanandoa na ngono ni kwa waasherati...