Yaani kwa urahisi huo muda huwa unategemeana kwa jinsia zote kulingana na aina ya mtu mwenyewe, majukumu aliyonayo, na mazingira pia na wengi wetu pia tuetafautiana katika hili, unaweza ukanikuta mimi simalizi wiki, mwenzangu mwengine yeye mwezi, mwengine miezi kadhaa, kwahiyo ni vigumu kujua muda halisi.