Three idiot
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 188
- 154
Nilikuwa nakata pilipili na kisu mkono wa kushoto nimeshika pilipili,nimemaliza kuandaa hy pilipili sasa mkono unawaka moto balaha yani nashidwa hata kukaa kwa raha naomba njia ya kuutuliza
Kumbe tiba yake ni usingizi sio???Mmhhh hiyo hali nakumbuka ilishawahi nitokea daahh nliteseka sana hadi nikapitiwa na usingizi nilipoamka nayo ikawa imeisha
Utumbukize kwenye maji ya baridi. Ila mkuu hiyo username yako inanikumbusha mbali. Give me the sunshine, give some rain give me another chance
move nzur sanaaUnajua kabla hujatoa shudu zako ni Bora ungefanya utafiti,nakupa kazi sasa ivi nenda kakate pili na mikono yako afu utajiona co unalete ushuz wako wa kujichubua huku,afu itabid vigezo vya watu kujiunga na jamii forum vibadilishwe nyie darasa la Saba mnasumbua sana mkipata vismartphone vyenu vya promotion mnakuja kusumbua huku hebu nenda kajiunge na pre form one hukoSasa huo mkono umechubuka au vipi. Maana utawashwaje kwenye mkono? Labda kama mkono wako umechubuka kwa mkorogo. Maana kiganya original hakiwezi kutishwa na pilipili. Tatizo la kujifunza kupika ukubwani shida sana. Pole sana mkuu.
Unajua kabla hujatoa shudu zako ni Bora ungefanya utafiti,nakupa kazi sasa ivi nenda kakate pili na mikono yako afu utajiona co unalete ushuz wako wa kujichubua huku,afu itabid vigezo vya watu kujiunga na jamii forum vibadilishwe nyie darasa la Saba mnasumbua sana mkipata vismartphone vyenu vya promotion mnakuja kusumbua huku hebu nenda kajiunge na pre form one huko
Pelekeshe huku,huna msaada piga kimnya sio kujitutumua na ujinga wako ili tujue uwepo wakoMbona povu? Kwahiyo elimu ya kila mtu unaifahamu hapa JF? Ama kweli wewe unapaswa kupimwa akili. Mimi ni mzoefu na mambo hayo leo unanipa kazi ya kukata pilipili kwani mimi mgeni na pilipili? ID yako inasadifu kilicho kichwani mwako. Unaonekana mshamba sana wewe umekuja hapa unaanza kujigamba msomi hivi kila mtu akitaja elimu yake hapa patakalika kweli?
Kama umeweza kusadifu picha na jina ukanipima akili,afu ww ndo unapaswa kupimwa akiliMbona povu? Kwahiyo elimu ya kila mtu unaifahamu hapa JF? Ama kweli wewe unapaswa kupimwa akili. Mimi ni mzoefu na mambo hayo leo unanipa kazi ya kukata pilipili kwani mimi mgeni na pilipili? ID yako inasadifu kilicho kichwani mwako. Unaonekana mshamba sana wewe umekuja hapa unaanza kujigamba msomi hivi kila mtu akitaja elimu yake hapa patakalika kweli?