Naombeni msaada wa haraka kwa kweli

Unaijua vizuri sura ya mbuzi tena beberu?kama ndiyo,badilisha sura yako fasta hata kama ni mjamzito mpaka awe mjamwepesi.hakuna ushauli zaidi ya huo nlokupa
 
Unaijua vizuri sura ya mhuzi tena beberu?kama ndiyo,badilisha sura yako fasta hata kama ni mjamzito mpaka awe mjamwepesi.hakuna ushauli zaidi ya huo nlokupa
Wanawake wengine wanajifanya mimba inawachanganya ila kumbe n ili akutese tu aaaah
 
Wanawake wengine wanajifanya mimba inawachanganya ila kumbe n ili akutese tu aaaah
Mtu mzima ni mtu mzima tu anajua nini afanye na nin asifanye,madeko ya ajabu ajabu nimetoka kupambana nayo mimi juzi,kila wakati naacha biashara nachoma mafuta kurudi home kuzania mtu kazidiwa,nakimbiza hospital na Dr anaishia kuturudisha home,bafu halisafishwi.mtu amekua kama mlemavu wakati nikisema twende nimpeleke ziwani akapungwe upepo anakimbia kutafuta pamba utadhani ni mtoto wa chekechea.Ah!
 
Hapana mdogo wangu,msubiri ajifungue uone tabia yake kama itabadilika au la!kiukweli asilimia kubwa mimba uwabadilisha akili,hujawai kuona mwanamke mjamzito anashinda karibu na choo cha shimo eti anapenda ile arufu?bahada yakujifungua akai tena eneo lile?usichoke huo usumbufu mvumilie kwanza,pia kiumbe hicho tumboni ni mwanao,jitaidi asiudhike ovyo kwakuwa ni madhara kwa afya ya mtoto ,
 
Pole kwani hukumsoma tabia kipindi cha boyfriend&gf
Mvumilie azae yatapita hayo maana mjamzito huwa na vijitabia vya ajabu sana ( wasomi wanasema sijui hormone zinazidi)
Ok but yataka moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…