Naombeni Msaada Niweze kuacha Kamari ya Aviator, Maisha yangu hayaendi vizuri, Kamari hii Inataka kunitoa Roho

Mfalme_wa_Nyika

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2023
Posts
684
Reaction score
1,541
Wadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato.
Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya hili game - Aviator siku moja tukiwa tumepumzika mahali.

Kuanzia siku ile mwaka 2022 mpaka leo maisha yangu yamebadilika. Yaani ni mimi na aviator tu kila pesa nikipata naweka huko na ninaliwa yaani kuna kipindi kwa wiki naliwa si chini ya 3M...

Imagine, yaani najitahidi kuacha lakini siwezi ile uchungu wakupoteza napata kiu kila ninaposhika pesa a naongeza dau na mpaka moyo wangu umekuwa siku hizi kama hauna hisia tena, naweza eka leo 250K ikaliwa ndani ya dakika kumi, nabaki mtupu kuombaomba.

Imefika hatua nataka kuuza mpaka magari yangu ili nicheze Aviator, thanks kea girlfriend wangu anayenishaurigi nisiuze gari ingawa hajui mimi nacheza kamari, yaani hii siri natoa hapa kwenu sijawahi mwambia mtu yeyote.

Kuna saa nawaza nikate eneo a shamba langu niuze ili niweze kurudisha pesa niliyopigwa na mhindi kwenye Aviator maana kwa mwaka toka 2022 napoteza si chini ya milioni 25-35 kwa hesabu za juu juu nilizofanya.

Nawaza kama Aviator ningeijua kabla sijafanya chochote kwenye maisha leo nisingekuwa na kitu chochote, ila hatari iliyopo ni kuwa sasa yaani kwa siku naweza kupata laki tatu nne ila yote inaisha kwa Aviator,

Hakuna hela inakaa mkononi, mpaka inataka kuharibu mahusiano, girlfriend wangu anajua nina uwezo wa kuwa na hela ila kuna wakati anasema inakuwaje nashindwa kumhudumia pesa napeleka wapi ila kumwambia mimi ni teja wa kamari ya Aviator nashindwa naona aibu nazidi kujichimbia kaburi la umasikini mfarakaniko na self denial...

Naombeni maana imenibidi niandike hili baada ya uchungu nimeweka leo jumla ya 400K na mhindi kala yote yaani asubuhi nilikua na 400K mda huu sina hata mia na kuna saa nilipata mpaka 3.6M ila mhindi akairudisha yoooote.

Mazee nimechoka haya maisha naomba mtu aniambie jamani niachaje kamari hiii!? Sitaki haya maisha....
Kuna saa napata hasira balaa ataka mpaka kujidhuru naniuliza nina pepo gani!?

Naomba msaada wa hali na mawazo niweze kuachana na hii kamari ya mchezo wa Aviator.
 
Pole sana jamaa ,mabadiliko ni wewe amua kutoka moyoni kuwa sasa imetosha najua itakuwa imetosha .

Haiitaji maamuzi madogo wala kujisemea kirahisi ila uamuzi ulio madhubuti na wenye msimamo mkali usiotetereka .
Pole fanya hayo ,naamini utashinda

Jipe likizo ya muda, yaani take vacation leave. Then kwenye hiyo vacation ndo iwe mwisho wa matumiz ya smartphone.

Mawasiliano tumia kiswaswadu
 
Du una matatizo kwerikweri tsfuts nsmna nyungine ya kukuingizia kipato
 
Pole sana jamaa ,mabadiliko ni wewe amua kutoka moyoni kuwa sasa imetosha najua itakuwa imetosha .

Haiitaji maamuzi madogo wala kujisemea kirahisi ila uamuzi ulio madhubuti na wenye msimamo mkali usiotetereka .
Pole fanya hayo ,naamini utashinda
Aisee itabidi nifanye hivyo ila duh nimejaribu mara kwa mara nashindwa ...tarehe 25/07 mhindi alinipiga balaa 750K nikajiapiza sichezi tena ila nikarudi...
Yaani sijui nifanyaje itabidi niseme hii siri kwa mtu au girlfriend wangu ili aniseme weee nijisikie vibaya
 
Sijakuelewa mzee hii kitu inanitesa yaani kama nimelogwa hapa nina uchungu yaani hii wiki zaidi ya M nimepoteza juzi 200K jana nikasema nipumzike leo nimetoa hela bamk asubuhi nikafanyie kitu shetani kaniingia nicheze 400K yotee fyuuu
Pole sana mkuu jitahidi ufute hayo ma app yoyote ya kamari pia jikaze haswa utajikuta umeacha tu
 
Wadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato.
Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya hili game - Aviator siku moja tukiwa tumepumzika mahali.

Kuanzia siku ile mwaka 2022 mpaka leo maisha yangu yamebadilika. Yaani ni mimi na aviator tu kila pesa nikipata naweka huko na ninaliwa yaani kuna kipindi kwa wiki naliwa si chini ya 3M...

Imagine, yaani najitahidi kuacha lakini siwezi ile uchungu wakupoteza napata kiu kila ninaposhika pesa a naongeza dau na mpaka moyo wangu umekuwa siku hizi kama hauna hisia tena, naweza eka leo 250K ikaliwa ndani ya dakika kumi, nabaki mtupu kuombaomba.

Imefika hatua nataka kuuza mpaka magari yangu ili nicheze Aviator, thanks kea girlfriend wangu anayenishaurigi nisiuze gari ingawa hajui mimi nacheza kamari, yaani hii siri natoa hapa kwenu sijawahi mwambia mtu yeyote.

Kuna saa nawaza nikate eneo a shamba langu niuze ili niweze kurudisha pesa niliyopigwa na mhindi kwenye Aviator maana kwa mwaka toka 2022 napoteza si chini ya milioni 25-35 kwa hesabu za juu juu nilizofanya.

Nawaza kama Aviator ningeijua kabla sijafanya chochote kwenye maisha leo nisingekuwa na kitu chochote, ila hatari iliyopo ni kuwa sasa yaani kwa siku naweza kupata laki tatu nne ila yote inaisha kwa Aviator,

Hakuna hela inakaa mkononi, mpaka inataka kuharibu mahusiano, girlfriend wangu anajua nina uwezo wa kuwa na hela ila kuna wakati anasema inakuwaje nashindwa kumhudumia pesa napeleka wapi ila kumwambia mimi ni teja wa kamari ya Aviator nashindwa naona aibu nazidi kujichimbia kaburi la umasikini mfarakaniko na self denial...

Naombeni maana imenibidi niandike hili baada ya uchungu nimeweka leo jumla ya 400K na mhindi kala yote yaani asubuhi nilikua na 400K mda huu sina hata mia na kuna saa nilipata mpaka 3.6M ila mhindi akairudisha yoooote.

Mazee nimechoka haya maisha naomba mtu aniambie jamani niachaje kamari hiii!? Sitaki haya maisha....
Kuna saa napata hasira balaa ataka mpaka kujidhuru naniuliza nina pepo gani!?

Naomba msaada wa hali na mawazo niweze kuachana na hii kamari ya mchezo wa Aviator.
Mkuu pole sana kwa uraibu unaokutesa.

Shida kubwa ninayo iona ni kwamba hujakubali kuwa umepigwa badala yake unapambana ili urudishe kilicho chako kitu ambacho ni kosa kubwa unafanya.

kwanza kubali kuwa umepigwa hizo ulizopigwa na huna namna ya kuzirejesha ifanye kuwa hasara maishani kwako.

Baada ya kukubaliana na hali sasa huna savabu ya kuendelea kucheza maana you have nothing to fight for.

Anza kuweka malengo ya pesa kabla ya kuishika na unqpoishika hakikisha unatimiza malengo yako.

Mwisho I wish you all the best kwenye mapambano yako maana hakuna uraibu ulio mrahisi kuachwa.
 
Du una matatizo kwerikweri tsfuts nsmna nyungine ya kukuingizia kipato
Hujanielewa mimi nina njia nne za vipato kizuri sana kwa siku sikosi 100K - 300K tatizo Aviator niliingia kama burudani ...
Tatizo ninapopoteza yaani kuliwa napata uchungu nicheze tena kurudisha pesa yangu hapo ndo naliwa tena na tena na kufanya mlima wa uchungu wakurudisha pesa na ndivyo nilivyojikuta nimezama kwa urahibu huu
 
Aisee itabidi nifanye hivyo ila duh nimejaribu mara kwa mara nashindwa ...tarehe 25/07 mhindi alinipiga balaa 750K nikajiapiza sichezi tena ila nikarudi...
Yaani sijui nifanyaje itabidi niseme hii siri kwa mtu au girlfriend wangu ili aniseme weee nijisikie vibaya
Jitahidi kaka ,natamani muda mwingine kuwasaidia vijana wa hapa ila hamkawii kurudi na nyuzi za kutuchamba na wale jamaa nadhani wakizitaka taarifa zetu mnaweza kuwapa yaani .

Anyway jaribu ,ukishindwa nitafute wewe na huyo mpenzi wako nikusaidie kisaikolojia mdogo wangu
 
Mkuu pole sana kwa uraibu unaokutesa.

Shida kubwa ninayo iona ni kwamba hujakubali kuwa umepigwa badala yake unapambana ili urudishe kilicho chako kitu ambacho ni kosa kubwa unafanya.

kwanza kubali kuwa umepigwa hizo ulizopigwa na huna namna ya kuzirejesha ifanye kuwa hasara maishani kwako.

Baada ya kukubaliana na hali sasa huna savabu ya kuendelea kucheza maana you have nothing to fight for.

Anza kuweka malengo ya pesa kabla ya kuishika na unqpoishika hakikisha unatimiza malengo yako.

Mwisho I wish you all the best kwenye mapambano yako maana hakuna uraibu ulio mrahisi kuachwa.
Asante kwa ushauri mkuu ...itabidi nikubali kwa udhabiti kabisa nimepigwa na niachilie hilo...
Ila nifanyaje sijui yaani kila pesa nikishika napekeleka kwa aviator
 
Jitahidi kaka ,natamani muda mwingine kuwasaidia vijana wa hapa ila hamkawii kurudi na nyuzi za kutuchamba na wale jamaa nadhani wakizitaka taarifa zetu mnaweza kuwapa yaani .

Anyway jaribu ,ukishindwa nitafute wewe na huyo mpenzi wako nikusaidie kisaikolojia mdogo wangu
Girlfriend wangu hajui kabisa hii shida yangu, mkuu nitakucheki inbox mimi sio kijana wa hovyo ingawa aisee sinywi pombe sina mademu wengi ila pesa ninayopoteza kwa kamari ya Aviator ni shida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom