nafahamu ww ni kijana mwenzangu ambaye unapambana kutafuta maisha, pole sana kwa michakato ya kutafuta ajira, wote tupo kwenye mkondo huo huo wa kutafuta ajira bila kuchoka..
Kaka nipo tayar kukusaidia kwa maradhi na chakula kwa kipindi ambacho utakuwa Dodoma kwa ajiri ya usaili.
Ila pia sina uhakika sana kama unaitaji msaada huo kwa kuwa maelezo yako hayakujitosheleza, ila kama ni huo nilioutaja hapo juu, naomba uni-PM..