solja njeree
Senior Member
- Aug 27, 2013
- 175
- 95
Ata mm nimepanga hivyo sasa kuna vingine viko anako lalaKuwa mpole,,,halafu siku moja uende ubebe vitu vyako na gari utokomee mbali
kimyakimya...usigombane nae hadharani
ili watu wajue uko nae bado hata wakikuona unakusanya vitu wasiulize
Alisha fariki mama yangumshitaki kwa mama ako,km hutaki ugomvi na ndugu yako achana nae katafute rasmi vyako.mungu atakua upande wako
Pole sana kiongozi. Haki yako haitapotea amini hivyoAlisha fariki mama yangu
maskini pole sn njeree,dah!! imenigusa sn hiyo ya mama kufariki,ndo maana anakiburi cha kukudhulumu.hama hivo vitu muachie,nenda kalianzishe kivyako mungu atakulipa Mara kumi.amini nakwambia mkuu,mungu hamuachi mnyongeAlisha fariki mama yangu
Pole Sana MkuuAlisha fariki mama yangu