Naombeni msaada laptop inadisplay msg | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada laptop inadisplay msg

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by georgerweba, Sep 15, 2012.

 1. georgerweba

  georgerweba Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani naombeni msaada wenu laptop yangu ilikua na tatizo la display nilimpelekea fundi lakini amenirudishia ikiwa mbovu zaidi inadisplay msg inayosema UNSUPPORTED WIRELESS NETWORK DEVICE DETECTED. alaf chini yake inaandika SYSTEM HALTED.REMOVE DEVICE AND RESTART. naomba msaada wenu nifanyeje iliangalau iweze kuwaka hata kama display itabaki kama mwanzo.
   
Loading...