Naombeni msaada kwa walioko Mwanza

mi mpole

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
18
Reaction score
3
Habari Ndugu Wana JF.

Mim ni kijana ambae nilihitimu kidato cha sita Mwaka 2010.
Ninaish Mwanza, Kutokana na Tatizo gumu la ukosefu wa ajira,na hali ya ugumu wa maisha iliyokithiri.

Ninaomba sana msaada kwa wale ambao wako mwanza, niweze kupata msaada wa kupata kaz yeyote ili kuweza kujikwamua katika hali ngumu ya maisha inayonikabili.
Nina Moyo wa kujituma na uaminifu.

Lakin pia nina uelewa wa Computer,lesen ya udereva. na pia nina uelewa katika taaluma ya sheria japo bado sijamaliza masomo hayo.

Naombeni sana Watanzania wenzangu,wenye uwezo wa kunisaidia,wanisaidie katika hili.

Natanguliza Shukrani za Dhati.
 
wazo zuri, rahisisha kwa kuwawekea mawasiliano yako hadharani
 

Kazi gani hasa unataka??
 
 
Niko tayari kwa Moyo mmoja kufanya hyo kazi,

Nashukuru sana.
 
BOT wametoa nafasi za kazi, kwa elimu yako jaribu kuomba nafasi ya Messenger waweza pata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…