habari zenu wanajamii naombeni mnisaidie nimesoma diploma ya social studies natafuta kazi kwenye NGO's hata yakujitolea nipate tu ya nauli nipo Tanga. Email: madata84@gmail.com
Watafute Plan International hapo Tanga....nenda kaongee nao kuhusu volunteering face to face with confidence!
Bila shaka they will either consider or give you advice about other NGO's in Tanga and what to do.