Mkuu tafuta hela ununue nyingine,hiyo wape watoto wachezee.Ndugu zangu naombeni msaada. Kuna hii simu natumia infinix.. Tatizo lake ukipigiwa simu ukapokea inakuwa kama imezima yaani huwezi kukata mpaka aliyekupigia akate yeye.. Hata ukipiga simu inakuwa hivyo hivyo tuu huwezi kukata maana inakuwa kama imezima.. Naombeni msaada wakuu maana inanitesa Sana.
Proximity sensor hiyo mkuu ndiyo tatizo, kama usha wahi kuweka touch mpya, au kioo kina cracks kwenye, au ushawahi kuiangusha na ikaangukia kioo hilo tatizo lazima litokee hasa kwa simu zenye complete display..Ndugu zangu naombeni msaada. Kuna hii simu natumia infinix.. Tatizo lake ukipigiwa simu ukapokea inakuwa kama imezima yaani huwezi kukata mpaka aliyekupigia akate yeye.. Hata ukipiga simu inakuwa hivyo hivyo tuu huwezi kukata maana inakuwa kama imezima.. Naombeni msaada wakuu maana inanitesa Sana.
Nunua Samsung ,utanishukuruNdugu zangu naombeni msaada. Kuna hii simu natumia infinix.. Tatizo lake ukipigiwa simu ukapokea inakuwa kama imezima yaani huwezi kukata mpaka aliyekupigia akate yeye.. Hata ukipiga simu inakuwa hivyo hivyo tuu huwezi kukata maana inakuwa kama imezima.. Naombeni msaada wakuu maana inanitesa Sana.
Jibu hili hapaProximity sensor hiyo mkuu ndiyo tatizo, kama usha wahi kuweka touch mpya, au kioo kina cracks kwenye touch, au ushawahi kuiangusha na ikaangukia kioo hilo tatizo lazima litokee hasa kwa simu zenye complete display..
Suluhisho hapo ni nini mkuu au ndo itabaki kuwa hivyo hivyoProximity sensor hiyo mkuu ndiyo tatizo, kama usha wahi kuweka touch mpya, au kioo kina cracks kwenye, au ushawahi kuiangusha na ikaangukia kioo hilo tatizo lazima litokee hasa kwa simu zenye complete display..
Mpelekee fundi, hako ka'sensor unaweza pata kwenye simu mbovu mbadala wake ama akikosoma huziba na kitu anachoona kinafaa but haita function automaticallyJibu hili hapa