Naombeni msaada kwa anaejua tafadhali

Apr 19, 2018
11
2
Line yangu imeibiwa nikawaomba Tigo wai-block ili mwizi asitume meseji kwa watu na Tigo wakaifungia sasa nataka kui-renew Ila nina wiki bado haifanyi kazi mnara unasoma lakini ukipiga unaambiwa line imefungiwa wakati Tigo wenyewe walinipa masaa 48 baada ya hapo line itafanya kazi.

Nimerudi tena Tigo wakasema kwa vile line yangu sikusajili kwa alama ya vidole ndo maana inachukua muda sababu TCRA wameifungia wamenipa masaa mengine bado haifanyi kazi nimeenda tena wamesema nitulie itafanya kazi tu muda ukifika.
 
Hakuna kitu kinakera kama kupigwa kalenda na jambo unalohitaji kwa haraka.
Kwangu mm kero nilikutana nazo sana voda.

Na Mm waki niliteaga swaga zao. Naingiaga kwenye pg zao zote za kijamiii.
Naandika tatzo langu na ubabaishaji wao.

Fasta tuu Comment zinatililika za wadau na malalamiko ya kutosha
Wakiona hivyo Wanakufuata mpk private kuomba mawasiliano wakusaidie.

Eti hio siku wameshanisaidia.
Wanaomba Niwasafishe au nifute post yangu.
SIKUFANYA CHOCHOTE.

Njia hii ndio naitumia kunitatulia shida zang in case km nimesubir nimechoka...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom