naombeni msaada kuunlock moderm ya airtel

moderm yangu ni huawei E173 na kwenye list haipo, nafanyaje plz
 
moderm yangu ni huawei E173 na kwenye list haipo, nafanyaje plz


Fuata maelekezo yalivyo kwenye kielelezo hiki.
Namba 1 iwe kwenye huawei datacards namba 2 iwe auto detected(recommended)
Kisha bonyeza namba 3 ikimaliza kusearch itakupa jibu kisha bonyeza namba 4. Itafanya kazi ya kuifungua na itakupa maelekezo baada ya kumaliza kwamba umefanikiwa kuifungua. ENJOY
 
yangu ni e153 haipo kwenye list ina unlock temporarily. Nataka parmanent unlock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…