Erickson0708
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 207
- 34
Iv inawezekana ukafanya usajili chuoni ulipopangwa den baada ya hapo ukafanya transfer ya kwenda chuo kingine? Na kama ikiwezekana madhara yake ni yap?
Iv inawezekana ukafanya usajili chuoni ulipopangwa den baada ya hapo ukafanya transfer ya kwenda chuo kingine? Na kama ikiwezekana madhara yake ni yap?
Bla Shaka Utakua Umepagwa St Joseph Ndugu?..,transfer Ztafanyika Online Accordin To Available Slots Ztakazo Kuwepo Kuptia Accnt Yko Ya Tcu Na utalipia Elfu30..Hvo Stay Updated Til Muda Wa Transfer Utakapofunguliwa Coz Stakua Ni "first In First Served" .,,madhara Yake Ni Kuchelewa Kwa Mkopo Wako Kwenda Ulpohamia
Ndio aseeh nimepangwa st.joseph
Naona muda unaenda tyu hawatufungulii dirisha la transfer. Dahh
Umepagwa St Joseph Ya Wap Na Course Gani Mkuu?
Campus ya afya Boko