Naombeni msaada kuhusu huyu mwanamke

Naombeni msaada kuhusu huyu mwanamke

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
322
Reaction score
902
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale. Ipo hivi,

Nina mwezi sasa sijakutana na mwanamke, sasa kuna demu nimempata anakuja j3 ndio first time lakini najikuta nimejaa hofu sana kama huenda nikaperform low.

Maana naona kama naogopa show. Ni pisi kali kinoma huyu demu, alinielewa yeye mwenyewe tu.

Naombeni ushauri wa kisaikolojia.

Swala la pili, ghetto langu halipo poa, sasa nataka nimuazime jamaa yangu ghetto ili demu akija ajue langu.

Naombeni ushauri wa kimawazo.

Shoo yako itakuwa mbovu kwanza umepanic pili hauna confidence una woga

Ni ngumu kwa mwanamume kuperfom vizuri katika hali hizo

Hiyo j3 mwambie kwanza unataka kumtoa out mkapate dinner na maongezi ya hapa na pale hiyo itakupa hali ya kujiamini.

Mpeleke sehemu utakayokuwa nayo comfortable tafuta lodge nzuri achana na mageto ya wana.

Usifike tu na kuchojoa na kuingiza nakwambia mdogo wangu ukifanya hivyo tako 3 tu wazungu walee na ndo mwanzo wa shoo kuwa mbovu

Kabla ya kuanza kusuuza rungu kwanza mchezee kwa romance za kufa mtu mpaka mtoto alegee wao wenyewe huwa wanasemaga tu "naomba uniingize mpenzi" sasa hapo anza kumpelekea moto
 
Daaah sawa mkuu
 
Mawaili hapo hairisha umtafute siku nyingine maana kimsingi ushapoteza mchezo kimbinu,,au aje ujitutumue hivo hivo utajua Cha kujitetea si kakuelewa mwenyew
 
Acha ushamba wa kuazima geto la mwana kujifanya lako,siku demu ataenda moja kwa moja kwenye geto la msela bila kukwambia mwana atamchana wazi kuwa sio lako na hapo ndipo UTAPIGWA TUKIO BAYA SANA
 
Naomba ni PM nmba yke endapo utashindwa kupa fomu vzuri.
 
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale. Ipo hivi,

Nina mwezi sasa sijakutana na mwanamke, sasa kuna demu nimempata anakuja j3 ndio first time lakini najikuta nimejaa hofu sana kama huenda nikaperform low.

Maana naona kama naogopa show. Ni pisi kali kinoma huyu demu, alinielewa yeye mwenyewe tu.

Naombeni ushauri wa kisaikolojia.

Swala la pili, ghetto langu halipo poa, sasa nataka nimuazime jamaa yangu ghetto ili demu akija ajue langu.

Naombeni ushauri wa kimawazo.

Another man down! Jf stress free
 
acha uoga hawezi kukuacha si umeona mama leo katoa mkeka wanawake wapo wengi kuliko sisi wanaume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom