J627204 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 268 Reaction score 99 Jun 18, 2014 #1 Natumua simu ya Huawei Y300 inasumbua nikimpigia mtu naweza kuongea nae baada ya muda tunakuwa hatusikilizani siyo mm mwenyewe hata rafiki zangu wanasumbuka naombrni mwenyekuelewa anisaidie
Natumua simu ya Huawei Y300 inasumbua nikimpigia mtu naweza kuongea nae baada ya muda tunakuwa hatusikilizani siyo mm mwenyewe hata rafiki zangu wanasumbuka naombrni mwenyekuelewa anisaidie