Naombeni msaada kuhusu Disk partition

Dancan

Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Wakuu kuna uzi flani ulielezea jinsi ya kufanya disk partition kwenye pc,nilifata steps zote lakin baada ya kuona disk ambayo ina jina UNALLOCATED nika right click na kuchagua "new simple volume"-next-next-nika choose assign the drive letter-next-nika choose format this volume with the following setting(NTFS)-next-finish.
Tatizo ni kwamba inaniletea ujumbe ambao unasomeka "YOU CANT CREATE A NEW VOLUME IN THIS UNALLOCATED SPACE BECAUSE THE DISK ALREADY CONTAINS THE MAXIMUM NUMBER OF PARTITIONS
naombeni msaada kwa hili tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…