makamirwa
Member
- Jul 11, 2015
- 67
- 13
Pls cm yangu hiyo tajwa hapo juu imepatwa na tatizo upande wa camera na touch hazifanyi kazi kabisa ukiweka on camera inaleata maneno kama"can't connect to the camera,ilianaza kugoma kupiga picha nyuma ya cm.ikaja touch ikagoma kuakisi mwanga ukiwasha touch inawaka front screen.Naombeni mwenye uwelewa na tatizo hili anijuze plz