NAOMBENI MSAADA JUU YA HILI

hashimrashidy

Senior Member
Sep 11, 2015
197
145
Habar zenu wakuu,

Naombeni mnisaidie namna ya kutatua hili tatizo URL YA BLOG YANGU FACEBOOK IMEFUNGIWA KILA NIKITAKA KUPOST KWENYE PAGE YANGU INANIKATALIA NAOMBENI MSAADA WENU JUU YA HILI
 
Hawakupi maelezo ya lini itafunguliwa?....

Unatumia muda gan kupost habar moja nanyingine?? ....FB now wanatabia ya kufunga ikiwa interval yako ya kupost ni ndogo kiasi wanahisi ni Robot ,lkn Pia now FB wapo ktk mageuzi makubwa sana hususan kuwalenga mablog wanaotumia FB kusambaza habar zao.

Jaribu kuwasiliana na FB ,ila mimi niliwah kuzuia kupost FB kwa muda wa siku tatu wakanifungulia .
 
Mimi hawajanipa muda tena wame futa mpka post zangu zote hata za nyuma.....swala la kupost blog yangu always iko update kwahyo mara kwa mara na post ila nili share ndo wakaniweka as a sparm bila kuna mbia muda gan mwsho mara post zote kwenye page wameziondoa wamasema kuna url yangu si safe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom