Naombeni msaada ili niweze kwenda VETA

Feb 12, 2017
35
11
Mm ni Daniel shkamon wakubwa
Nnaomba msaada kwa alie na. Uwezo anidhamin niende veta kwa sababu udereva naupenda sana yyte atakae weza kunisaidia ntamshukur na mungu atamwongezea
Asanten sana.
 
Unataka umwambie auze simu yake akalipe ada
eeeeh we utakuta mtu anatumia lets say tecno h6 = 250000 alafu analalamika hana ada au mtaji na kila cku anatia vocha

yaani ukimuona mtu ana smartphone alafu anaomba msaada ni wakumuangalia sana
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Veta ni 150'000/= tshirt 10'000/=
kitambulisho 3'000/= copy ya alama za usalama barabarani 5'000/= provisional lisence 10'000/= TRA nauli juu yako mafunzo ni mwezi mmoja na wiki moja ukimaliza utapelekwa test kwa vehicle inspector ukifaulu utapewa alama za ufaulu baada ya hapo utaanza utaratibu wa kufatilia leseni ni 40'000/= na utapewa class D ukitaka zaidi ya hapo cha juu kinahusika
 
Na sharia ntazijuaje mm nnavyojua mnakaa darasani
Mwez mmja
 
Back
Top Bottom