Naombeni mnishauri kwa hili

Soma but this time make sure unafaulu maana elimu imerahisishwa nakuona ukiwa na 1 nzuri tu ukikosakosa sana una 2, kwa hio nenda shule usiangalie umri wako tena anza process zako za awali mapema mda ndio huu hakuna kulaza damu
 
😁😁😁 endelea na shughuli nyingine, nursing tunataka vijana pure wenye One za PCB!
 
Aise mm sikutishi ila cha msingi kama una ADDO na umiliki wa hilo duka la dawa ebu endelea na kazi ya duka na usimamie vizuri hiyo biashara utanikumbuka baadae kwa kwa sababu itaingiza kipato kikubwa sana kuliko unavyodhania kuajiliwa serikalini.

Swala la kuajiliwa n black zone my friend hata kama ukibahatika kuajiriwa ujue umeingia kwenye kifungo huru.
Amini amini nakuambia,
 
Achana na kusoma, una duka la dawa? Pambana kuendeleza duka lako easy tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…