Naombeni mnishauri kiustaarabu wakuu,msinikashifu tafadhali.

Kisa changu kiko hvi,kuna gal mmoja alikua galfrd wangu wa tangu utoton,ilitokea akaja kugundua kwamba nimemsalit kwa kutoka na rafiki yake kipenzi,wel alinchunia takriban mwaka mzima akikataa kujbu sms wala colz zangu,mwaka jana mwishon iltokea nkajarbu kumcol tena,bahat nzur akapokea 2kaongea mengi sana,na akaniambia amensamehe kwa yote yalyotokea na maisha yaendelee ka kawa,bac na mie nae kwa kujkosha nikamtumia zinga la zawadi kama asante ya msamaha wake.cha kushangaza imefika mwaka huu mwezi february,kila nkimpgia cmu yake naambiwa haipatkan bt nkijarbu kwa namba ingne inapatkana,nkajua tu atakua kaniblock coz hata a/c yangu ya fb nayo kaiblock,sasa wakuu nishaurin kuhusu huyu mtu hatujakosana tena wala nin ila ye kaamua kunitreat hvyo,me nimueleweje?over
alikusubiri uingie penati box naye akuangushe makusudi ili penati ihamie kwako.
imekula kwako maana aliumia sana na alijitahidi kwa akili sana kuhamishia maumivu aliyoyapata kipindi kuhamishia kwako,ndo maana wakati ulipomsaliti haukuja kutuambia kuwa umemsaliti mpenzio ila leo maumivu yamehamishiwa kwako angalia unavyopiga kelele,hapo umelipiziwa kijana,kuwa makini siku nyingine!!!!!
 
Back
Top Bottom