Naombeni mnisaidie!.

Clabo1

Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
98
Reaction score
65
Duh! Wandungu kichwa kinauma, nimekuja hapa naomba msaada wenu kwa ushauri!. Mim nikijana wa kiume nilikua katika mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja ambae tulipendana sanaa zaidi nikampenda kutokana na hari ya maisha kwao s nzuri na elimu yake ya chini sana. Wakati nipo shule huku nyuma akapata kazi ya kuuza duka la mtu katika mkusanyiko wa watu!. Ni mpole na n mshirika mzuri sana wa kanisani. Nimerud likizo kabla sijaonana nae naanza kusikia toka kwa rafiki zangu na zake taharifa kua ni mjamzito ila na hawa wanaonipa taharifa ni wamesikia, hiko kitu hajaniambia japo ninawasiliana nae. Nikawaza wanaonipa taharifa nao wamesikia nam tena ninasikia nikaona nichukue mda nikae nae na tufanye vipimo vya afya na iyo kitu!. Lakin kinachonishangaza kila ninapohitaji kukutana nae hua anaishia kulia tu katika simu na anasema hawezi kukutana namim nyumban kazi nyingi maana sasa hayupo tena kazini n yupo tu nyumbani. Naomba mnisaidie hapa niamue nin? Ila katika simu tunaongea sana tu na mda wowote ule! Ila kukutana nam imekua tatizo.
 
Pole sanaaa mkuu huyo kashatambua ameshaharibu ivo a naogopa kukuweka waz,lisemwalo lipo na kama halipo lipo njian laja.pia ucpende kucmuliwa we nenda tu kwao kapate uhakika
 
Sijamuonesha kama ninafaham chochote! Na amenieleza mwezi huu amemaliza bleed karibuni.
 
Hata nikienda kwao nitafanikisha kwenda kupima nae mkuu?
Khaa..Unataka upime ili iweje? We nenda utaona dalili zake, utamkuta hata hizo kazi za ndani/nyumbani hazifanyi, kalala muda mwingi...!! usijisumbue kwenda kupima.
 
Pole sanaaa mkuu huyo kashatambua ameshaharibu ivo a naogopa kukuweka waz,lisemwalo lipo na kama halipo lipo njian laja.pia ucpende kucmuliwa we nenda tu kwao kapate uhakika
Ni mwembamba! Kama ipo n ina miez mitatu, kwa kumtazama nitamjua?
 
Hata nikienda kwao nitafanikisha kwenda kupima nae mkuu?
Kama ni mtu ambae anamimba ukimuona tu utajua, maana seems like anakataa kuja kuonana na wewe sababu anahisi ushajua, sasa kama yeye yuko busy basi mfwate kwao, utajua mbivu na mbichi mkuu. Ila kwa style hiyo, huyo keshaharibu.
 
Ni mwembamba! Kama ipo n ina miez mitatu, kwa kumtazama nitamjua?
Ucjl utamjua tu hata kwa kumtazama tena kwa kuwa kashakosea hata kuwa na confidence kama ya mwanzo ivo utapata uhakika wa mambo pia jiulize y analia ukitaka onana naye
 
Kwanini unapenda kuskiliza maneno ya watu?
 
Ucjl utamjua tu hata kwa kumtazama tena kwa kuwa kashakosea hata kuwa na confidence kama ya mwanzo ivo utapata uhakika wa mambo pia jiulize y analia ukitaka onana naye
Nashukuru sana kiongozi ila dah mmh hata hao rafiki zake sasa amewatenga.
 
Kwanini unapenda kuskiliza maneno ya watu?
Shunie! Nimeyasia maana sikueza ziba masikio, sjaamua chochote ila kwanza nimependa nionane nae ili tukapime kwa kumshtukiza tu maana sijamweka wazi kama nawaza iv, kinachoniumiza n kwanin hataki kuktana namim? Na nikimzungumzia ilo anaanza kulia tu ktk cm na mwshowe anasema haiwezekan? Nipo wap sijui na sielew kabsa na sijapenda niishie kuskia maneno ya watu na hata nikimuacha namuacha kwa sababu ipi ya msing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…