amsr
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 259
- 303
Me nimemaliza bachelor degree ya computer science in software engineering na sasahivi namalizia ccna baada ya kumaliza oracle database 11g ila lengolangu kubwa nahitaji kuwa network engineer mkubwa ndani na nje ya nchi, nikasema nikimaliza hii ccna niunge na ccnp then ccie halafu ndo nianze michongo ya ajira coz saiv nimejishkiza tu kwenye biashara flani ili nisikose hela za kuingilia hapa jf mpaka ntakapomaliza ccie mungu akipenda..kama kuna ushauri wowote ambao wakuu mnaweza kunipa juu ya hayo nliyokusudia basi karibuni sana