Fettyabduly
Member
- Sep 3, 2018
- 16
- 1
Nimemaliza kidato cha sita na kuambulia alama zifuatazo yaani:=
Mathematics D
Geography. D
Economics F
General study F
Ombi langu ni kwamba je!naweza soma elimu ya juu katika kiwango cha shahada ??
Maana vyuo karibu vinne nilivyoomba sijafanikiwa kupata na kama naweza je!nikiaomba katika kozi zilezile naweza fanikiwa ?msaada katika hilo.