Naombeni mnisaidie kwa hili.

Naombeni mnisaidie kwa hili.

Mwanyamaki's Son

New Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Habari wana Jf,

Naombeni mawazo yenu. Mie ni kijana mwenye umir wa miaka 21, najiandaa kuingia kidato cha 6. Nina mpenzi wangu ambae tupo umris sawa na nimeshawahi kufanya nae sex.

Ikifika mwezi wa tatu ndipo naenda shule na kujiunga shule ya bweni. Nimemuomba siku ya kuagana tufanye tena sex ila yeye hataki akidai kuwa anaumia tukifanya.

Nisaidieni mawazo yenu, namna gani nakabiliana na hii hali?
 
jamani hebu tuweni watu wenye mawazo mapana makubwa zaid, kweli imefikia hapa kwamba kijana mwanafunzi anaona ni sawa kuzini?? tena anayasema haya waziwazi??

ama kweli tanzania tunaipeleka jalalani. ila mwanafunzi wangu ushauri wangu tulia usome achana na hii biashara ya umalaya itakugharimu.
 
mm ni kijana wa miaka 21 najiandaa kuingia kidato cha 6 nina mpenz ambaye tupo umr sawa na nimefanya nae sex,sasa mwez wa tatu naingia bwen sasa nimemwomba cku ya kuagana na yy tufanye tena sex sasa yy hatak anadai et anaumia tukifanya naomben msaada wenu

Dogo acha mambo ya ajabu ebu piga kitabu kwanza, wazazi wanakugharamia sana ili usome halafu wewe unaendekeza mapenzi shuleni.......
 
wewe kidume bwana mwambie apanue papuchi hiyo asilete zake...sasa kama alishakupaga anaogopa nini. mbananishe umgegede
 
mm ni kijana wa miaka 21 najiandaa kuingia kidato cha 6 nina mpenz ambaye tupo umr sawa na nimefanya nae sex,sasa mwez wa tatu naingia bwen sasa nimemwomba cku ya kuagana na yy tufanye tena sex sasa yy hatak anadai et anaumia tukifanya naomben msaada wenu

Tukusaidie nini sasa? Tukakumbembelezee mtiane au,you can't be serious, at your age? A student? Kama unadhani shu5ke unayosoma ina manufaa kwako basi achana na hiyo habari otherwise subiri maisha yakutie in a nearby future and you'll remember my words
 
jamani hebu tuweni watu wenye mawazo mapana makubwa zaid, kweli imefikia hapa kwamba kijana mwanafunzi anaona ni sawa kuzini?? tena anayasema haya waziwazi??

ama kweli tanzania tunaipeleka jalalani. ila mwanafunzi wangu ushauri wangu tulia usome achana na hii biashara ya umalaya itakugharimu.

Jamani waalimu nawaonea huruma sana maana hawa kunguru mnaowafuga huko mashuleni ni taabu tupu, sasa mtu kama huyu eti keshokutwa utakutana naye kweli darasani uanze kumfundisha INTERGRATION akuelewe wakati badala ya kusoma yuko anaomba ushauri wa kufanya ngono.>>>>>>> Mungu hili taifa alirehemu kwa kweli sasa limeoza.
 
acha tu halafu ndo unakuta hata FBD kuchora ni ngumu. but wazazi/walez nao wamechangia sana kwenye hili.
 
Tukusaidie nini sasa? Tukakumbembelezee mtiane au,you can't be serious, at your age? A student? Kama unadhani shu5ke unayosoma ina manufaa kwako basi achana na hiyo habari otherwise subiri maisha yakutie in a nearby future and you'll remember my words

mwl wenzangu sasa huyu phonology ataweza kweli kama anawaza kubembelezewa akamtie binti?? i wonder the binti is very genius manake kwanza alishaona kidume zaid ya kumtia shombo la janaba hana jipya kwake, pili alishajua huyu anataka amwachie msala wa mimba za utotoni.

i pray that he is not one of my students
 
Habari wana Jf,

Naombeni mawazo yenu. Mie ni kijana mwenye umir wa miaka 21, najiandaa kuingia kidato cha 6. Nina mpenzi wangu ambae tupo umris sawa na nimeshawahi kufanya nae sex.

Ikifika mwezi wa tatu ndipo naenda shule na kujiunga shule ya bweni. Nimemuomba siku ya kuagana tufanye tena sex ila yeye hataki akidai kuwa anaumia tukifanya.

Nisaidieni mawazo yenu, namna gani nakabiliana na hii hali?

Nikikushauri itakuwa ni sawa na Sheikh au Mchungaji kumshauri muumini kutumia Condom ili kujikinga na UKIMWI....ushauri pekee kwako ni kwamba ACHA NGONO WAKATI BADO NI MWANAFUNZI!
 
Kijana unaharaka ya nini kwani? kama ingekua tamu usingeikuta hiyo... soma mdogo wangu ukifaulu utazipata kila aina na kila size na kila rangi..
 
Mara ya kwanza uliwezaje?...
BTW sex sio chakula kama hataki achana naye...
 
PUMBAVU !!! Nakushauri uachane na shule haina faida kwako. Nenda kafanye ngono dogo. Ukipata degree ya ngono ajira zipo zimejaa tele ! Jitahidi uongeze na wasichana wengine kama watatu hivi mdogo wangu na ufanye nao mara nne kwa wiki.sawa dogo? Shule ya nini bwana??? Tena wazazi wanakupeleka boarding hawajui kuwa unahitaji kusoma day school ili kila ukirudi jioni ukafanye ngono??? Ama kweli wazazi wako hawakutakii mema. Nenda katie dogo....tia weee.... utaona raha yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom