Naombeni mnisaidie kazi

Naombeni mnisaidie kazi

Raheri Baraka

New Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
3
Reaction score
0
Mimi ni msichana wa miaka 29 nina shahada ya kwanza ya kodi (taxation) naombeni mnisaidie kazi au mwenye kuzifahamu recruitment agencies ambazo zinaweza kunipatia kazi maana nishapeleka sana cv ison na erolink lakini sikufanikiwa. Mwenye kuweza kunisaidia awasiliane na Mimi kwa namba 0684 565237 na Mungu awabariki
 
Kozi zingine hizo mnazo somea ni TASA, ila mungu atakusaidia.
 
Mimi ni msichana wa miaka 29 nina shahada ya kwanza ya kodi (taxation) naombeni mnisaidie kazi au mwenye kuzifahamu recruitment agencies ambazo zinaweza kunipatia kazi maana nishapeleka sana cv ison na erolink lakini sikufanikiwa. Mwenye kuweza kunisaidia awasiliane na Mimi kwa namba 0684 565237 na Mungu awabariki
Jaribu kuomba TRA pia
 
Ushauri: fikiria kufanya kitu kingine tofauti na taluma yako kipindi unaendelea kutafuta kazi ya taluma yako.
Maana kozi yako ajira zake chache
 
Back
Top Bottom