Naombeni mnipe sifa za mgogo?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,920
Reaction score
3,753
Nipo zangu huku dodoma kwenye harakati za hapa na pale.Ila mademu wapo vizuri tatizo n maushamba ila cio sana.

ila kuna demu wakigogo nmemuona mazingira flan nmemmaind kinyam.ila kabla ya hayo wadau nilkuwa nataka mnp sifa zao nsj nikajizingua.
 
wagogo sijawai kuwadet ila mpare nmewai ila mazingira sio kwere yamejaa ushamba kinoma.kuna dem wang nlkuwa naye alikuwa mpare tulikuwa tukitoka out namshika mkono maana alikuwa na tabia ya kushangaa sana.alkuwa anawez kulshangaa jeng kwa krb dakika tano
 
Nipo zangu huku dodoma kwenye harakati za hapa na pale.Ila mademu wapo vizuri tatizo n maushamba ila cio sana.

ila kuna demu wakigogo nmemuona mazingira flan nmemmaind kinyam.ila kabla ya hayo wadau nilkuwa nataka mnp sifa zao nsj nikajizingua.
ni muhimu zaidi kua na mahusiano na mtu unaempenda nae akupende, mwenye heshima, staha, adabu na utii kwako, kwa ndugu, jamaa, marafiki na jamii nzima inayokuzunguka.

kua na mahusiano na sijui ugogo wa mtu, usukuma, uchaga au upare, tena kwa kusaidiwa na wadau, itakuchanganya tu na huenda unashirikisha watu wa kushare na wewe masuala ya mahusiano na pengine ndoa kabisa.

ni muhimu zaidi kujitegemea πŸ’
 
umenena vyema mkuu
 
Wengi wao usafi kwao ni 0 nje na ndani ya nyumba. Uvivu kwao ni jadi.
πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜’πŸ€£πŸ˜…πŸ™†β€β™‚οΈπŸ˜ŽπŸ˜πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Kama hauna sababu za msingi usioe mgogo wala mchaga
 
Kama hauna sababu za msingi usioe mgogo wala mchaga
Oop Yaani Uliposema Tu Boma, Lawate, Fuka, Namwai, West Kilimanjaro, Sanya Juu
Ngare Nairobi, Ngare Nanyuki
Sasa Mkuu Ulimaanisha Nivunje Ndoa Ama Sababu Gani
 
Oop Yaani Uliposema Tu Boma, Lawate, Fuka, Namwai, West Kilimanjaro, Sanya Juu
Ngare Nairobi, Ngare Nanyuki
Sasa Mkuu Ulimaanisha Nivunje Ndoa Ama Sababu Gani
Si ona umu jf wanaosumbua na kuongea ongea ni wanawake wa kaskazni soon watashambuliaa uzi wako
 
Wana viuno vizuri sana, ngozi pia zisizochoka haraka sababu ya kukulia kwenye ukame wao huo,

Ila ni zero, wachafu wavivu wajinga, wapenda chini= hasara ni nyingi kuliko faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…