Nina rafiki yangu ana degree ya International Relations pia alipitia JKT alikua anataka kuapply hizi kazi za TPA nafasi ya security guard ambayo kiwango cha elimu yao wameweka wawe wamehitim form 4. Shida ni kwamba anatamani kuapply sema anaogopa itakula kwake interms of mshahara hasa ukizingatia hatujui hiyo TPA 1A ni kiwango gani cha mshahara. So ndugu zangu mnamshauri afanye tu application au aachane nayo aendelee kusubiri nyingine. Though tunajua anaweza KUPATA au KUKOSA, asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app